SerengetiFiesta ni miongoni mwa matamasha makubwa nchini ambayo yanafanyika
mara moja kwa mwaka na kuwapa nafasi kubwa ya wasanii wa nyumbani
kuingiza kiasi kikubwa cha pesa kwa kufanya show hizo.
Star wa single kadhaa ikiwemo Muziki gani na nyingine nyingi Rapper Ney wa Mitego ameamua kutumia kidogo alichoingiza kupitia tamasha la Serengeti Fiesta kupeleka baadhi ya mahitaji kwenye kituo cha watoto yatima.
Kituo cha Mwandaliwa Orphans kilichopo Tegeta kimepata nafasi ya kutembelewa na Ney wa Mitego kisha kutoa misaada yake hiyo,hizi ni baadhi ya picha wakati akikabidhi msaada huo.
Blogger Comment
Facebook Comment