UNAKUMBUKA HII?

Katika ngoma zote ambazo amewahi kuzifanya chege chigunda mtoto wa mama saidi, nyimbo hii ni moja kati ya nyimbo ambazo aliweza kunibamba vilivyo kabisa! sijui kwa mtazamo wako iko vipi kwa sababu huu ni mtazamo wangu mimi unaweza kutoa maoni kwa;-

NIFUATE FACEBOOK INSTAGRAM

    Blogger Comment
    Facebook Comment