Congratulation Tanzania!

 



    mussasaliboko.blogspot.com leo tumekuandalia makala fupi kwa niaba ya kuipongeza nchi yetu TANZANIA. 
Miaka takriban53 iliyopita ndipo nchi yetu ilipo ondoka mikononi mwa wakoloni baada ya jitihada nyingi za wana harakati watu waliopigania nchi yetu kwa nguvu, jasho, hali na mali kuhakikisha uhuru wetu unarudi mikononi mwetu baada yawakoloni wa kiingerteza na kijerumani kujimilikisha ardhu yetu na kutunyanyasa na mambo mengine kama hayo.




 

  Mnamo mwaka 1961 tarehe kama ya leo yani December (mwezi wa kumi na mbili) 9 ndipo bendera yetu iliweza kupeperushwa na TANZANIA kutambulika kama nchi huru baada ya juhudi kubwa za kiongozi wetu, baba wa taifa letu MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE                           

Mpaka leo hii nchi yetu ina vivutio vingi ambavyo vinalipa faida nyingi sana taifa letu, faida hizo ni kama 1) Fedha za kigeni
        2) Wawekezaji na mambo mengine mengi kama hayo.

Leo hii tunajivunia kutimiza miaka 53 ya uhuru wa taifa letu na rasilimali nyingi tulizo nazo ndani ya taifa letu. Hongera nyingi ziwafikie mashujaa wetu kokote waliko kwa kupigania uhuru wetu naleo hii kwa juhudi zao tunaishi kwenye nchi yenye amani na upendo. HONGERENI WATANZANIA
                                                    CONGRATULATION TANZANIA! 


 KWA STORY ZAIDI NIFUATE FACEBOOK INSTAGRAM

    Blogger Comment
    Facebook Comment