NUH MZIWANDA ALIVYO MVISHA SHILOLE PETE YA UCHUMBA

Ilikuwa ni kwenye birthday party ya mwanadada shilole ndipo mwana mziki wa bongo flavour na hit maker wa nyimbo ua msondo ngoma na zinginezo kibaao NUH MZIWANDA alipoamua kufikia hatua hiyo kubwa ya kumvisha mpenz wake SHILOLE pete ya uchumba.



    Blogger Comment
    Facebook Comment