TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ, ZARI NA WENGINEO WALIVYO NASWA KATIKA TUZO ZA CHANEL O AFRICA KUSINI, PIA FAHAMU MANENO ALIYO YAZUNGUMZA DAVIDO BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUCHUKUA TUZO 3!

mussasaliboko.blogspot.com ilisafirishwa na Fastjet kutoka Dar es salaam Tanzania mpaka Johannesburg Afrika Kusini kwa ajili ya kuhudhuria tuzo za kituo kikubwa cha TV Africa (Channel O) ambako Diamond Platnumz alikua msanii pekee kutoka Tanzania aliechaguliwa kuwania tuzo.


Alikua akiwania tuzo nne ambapo mwisho wa show aliibuka na ushindi wa tuzo tatu……… AyoTV inakuletea dakika 14 za mzigo wote wa Johannesburg Diamond Platnumz na Watanzania wengine kuanzia kwenye red carpet mpaka ndani ya ukumbi.





KWA STORY ZAIDI NIFUATE FACEBOOK INSTAGRAM

    Blogger Comment
    Facebook Comment