KAPTAIN KOMBA AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM, Kapteni John Komba amefariki leo, taarifa iliyotolewa kwenye ukurasa wa Twitter wa Chama cha CCM, hajawamesema chanzo cha kifo chake.

Katika Tweet hiyo imeandikwa kwamba Mbunge huyo amefariki akiwa hospital ya TMJ.
Marehemu Kapteni Komba alikuwa kiongozi wa bendi ya TOT.
Naendelea kufuatilia taarifa hii na kila kitakachonifikia nitakuwa nakufahamisha pia hapahapa.
RIP Kapteni Komba
    Blogger Comment
    Facebook Comment