Heard ya leo amesikika Khadija Kopa, mwanamuziki wa Taarab TZ ambaye alikuwepo katika show moja iliyofanyika Dar na kukatokea ishu za wasanii kurushiwa makopo wakiwa jukwaani.
Khadija amesema hakupendezwa na tukio hilo kwa kuwa inawavunja moyo wasanii wetu hao ambao ni wawakilishi wetu wa nchi.
Mwanamuziki huyo alizungumzia pia mastaa wawili wanaofanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Diamond na Ali Kiba akasema kama kuna hali ya kutokuwa na maelewano kati yao ni vizuri wakakaa na kumaliza tofauti zao kwa kuwa hata yeye na marehemu Nasma Khamis Kidogowalikuwa marafiki ila mashabiki ndio walikuwa wanarushiana vijembe kupitia nyimbo zao.
Unaweza kuisikiliza yote nayo kwa kubonyeza play hapa.
Blogger Comment
Facebook Comment