SIRI YA MTUNGI SEHEMU YA 16

Siri ya mtungi ni moja kati ya movie bora kabisa ambazo tunaweza kujivunia kutokana na kwamba imetengenezwa kwa umahiri kabisa kwa kuzingatia maadili na soko la filamu linavyo kwenda na wakati hapa nchini kwetu.

Siei ya mtungi imehusisha waigizaji mwahiri kabisa katika tasnia yetu ya filamu hapa nchini tanzania, wakiwemo kama CHECHE, MONALISA, BI MWENDA, na wengineo kibaao.
Istoshe kuna wasanii wengi mahiri kama mfalme wa taarab MZEE YUSUF MAREHEMU SHARO MILIONEA na wengine kibaao





    Blogger Comment
    Facebook Comment