Ajali mbaya! Basi na Lori vyagongana uso kwauso huko mafinga!

Basi la abiria lenye namba za usajili T438 CDE linalofanya rout zake kutoka mbeya kwenda Dar es salaam Leo March 11 majors ya SAA 5 asubuhi limepata ajali ya kugongana USO kwa USO na Lori la mizigo huko eneo la mafinga.


Mpaka taarifa zinanifikia zilikuwa zinasema kwamba watu watano wamegundulika kupoteza maisha na 17 kuwa majeruhi kwenye ajali hiyo, taarifa tutawajulisha kadri zitakapi tufikia!




Pata taarifa zote kutoka hapa kwa ku-like page yangu ya facebook inayoitwa Bongo Planet
Bofya hapa ku-like Bongo Planrt Facebook fanpage
    Blogger Comment
    Facebook Comment