Heard ya leo Soudy Brownkafikishiwa tetezi za kuwepo uhusiano kati ya wasanii wawili Bongo Fleva, Meninah na Baraka Da’ Prince.
Taarifa zilizomfikia Soudy ni kwamba Baraka amekuwa anaonekana mara kwa mara nyumbani kwa akina Meninah maeneo ya Tabata na hivi karibuni alionekana kwenye duka moja Kinondoni akimnunulia Barakanguo.
Soudy Brown amemtafuta Meninahambaye amesema kuwa hawana uhusiano wowote ila Baraka ni mdogo wake ambaye walijuana kabla hajawa msanii na ukaribu wao wa sasa unatokana na wimbo aliomtungia na tayari ameshaurekodi, kuhusu ishu ya kutoa ujauzito waDiamond amesema hakuna ukweli wowote.
Huenda umepitwa na unatamani kumsikia Gossip Cop kwenye U Heard hii, bonyeza play hapa …
Blogger Comment
Facebook Comment