Ola amesema walikuwa Afrika Kusini kwa ajili ya shughuli za kimuziki pia huku wenzao wakijitoa na kuunda Navy Kenzo.
Pah One wamerudi Tz, Ola amesema hawezi kujiunga na Navy Kenzo, kingine alichokisema ni ishu ya beat za album ya kundi hilo kuuzwa kwa wasanii wengine.
Soudy Brown alimtafuta Nahreel
ambaye amesema toka kundi hilo livunjike hawajawasiliana ila chanzo cha
kuvunjika ilikuwa nidhamu akaamua kujitoa, kuhusu beat kutumiwa na
wasanii wengine amesema ni kweli imetokea hivyo ila yeye ndio
alizitengeneza na hazikuwa mali ya kundi hilo.
Bonyeza play hapa mtu wangu kusikiliza U Heard la leo March 13
Blogger Comment
Facebook Comment