Nimekuwekea hapa matokeo ya mechi ya Arsenal vs Everton leo March 1

Goli la kwanza la Arsenal lilifungwa na mshambuliaji wake Olivier Giroud, na goli la pili lififungwa na kiungo Thomas Rosicky baada ya pasi nzuri ya kiungo Mesut Ozil na Thomas Rosicky kupiga shuti Kali na kuzama mpaka wavuni.




    Blogger Comment
    Facebook Comment