Recent

AJALI MBAYA! BASI LA ABIRIA NA FUSO USO KWA USO LEO ASUBUHI!

ajali
Habari zilizotufikia punde zinasema watu kadhaa ambao idadi yao bado haijafahamika wanasemekana wamepoteza maisha baada ya basi la abiria liitwalo Nganga linalofanya safari zake kati ya Iringa na Kilombero kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso na kisha magari hayo kuteketea kwa moto maeneo ya milimani kilomita kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kuelekea Morogoro, inasemekana abiria wengi walikuwa ni wanafunzi, ajali hiyo imetokea majira ya saa mbili asubuhi leo.
ajaliPichani ni basi hilo la Nganga wakati na bada ya kuteketea kwa moto.
ajali

Tunaendelea kufuatilia taarifa hizi na tutazileta mara zitapopatikana.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment