Arsenal inaifukuzia Chelsea katika kuwanaia kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya England baada ya jana kushinda bao 1-0 ugenini ikiwa ni ushindi wa nne mfululizo.
Sasa Arsenal imefikisha jumla ya pointi 66 ikiwa nyuma ya Chelsea yenye pointi 70 baada ya jana Aaron Ramsey kufunga goli la ushindi dhidi ya Burnley dakika dakika ya 12.
Totternham nayo imezamishwa na Aston Villa bao 1-0 lililofungwa na Cristian Benteke dakika ya 35 kwenye uwanja wa White Hart Lane, London
Related Posts :
Blogger Comment
Facebook Comment