Recent

Fahamu alichokiandika leo muheshimiwa John Mnyika akimwambia Rais kikwete kuhusiana na Mswada wa Katiba Mpya

Mheshimiwa John Mnyika Leo katika ukurasa wake wa twetter aliandika maneno matata ambayo yalimshtua karibu kila mmoja aliepitisha macho yake kwenye ukurasa huo!
Aliandika huku akilenga kumwandikia Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, akimsisitiza kwamba asitie saini yake kwenye muswada harami wa katiba mpya iliyo andaliwa kwa madai yake kwamba imeandaliwa kimakosa!

HHakikisha hupitwi na habari hata moja kutoka kwangu kwa ku-like ujurasa wangu was Facebook na kuenjoy kila litakalo tufikia MTU wangu
Bofya hapa=>>>FACEBOOK BONGO PLANET
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment