Recent

INASEMEKAMA ALLY KIBA KAFUKUZA DANCERS WAKE! JE KUNA UKWELI WOWOTE? & VIPI KUHUSU SHOW YAKE YA PASAKA DAR LIVE? MASWALI YOTE AMEKUJIBU HAPA!


Inasemekana msanii wa Bongo Falavour Ally Kiba hit maker wa Mwana Dar es Salaam & Chekecha Cheketua zilizobhit hiv karibuni na zinazo endelea kuhit mpaka sasa alifukuza dancers wake baada ya kusemekana kwamba wana utovu wa nidhamu na ally kiba alitafutwa kwenye headlines na kuweza kufanyiwa exclusive interview na Ago TV na kujibu maswali yote aliyo ulizwa na Millard ago.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment