NCHI YA NIGERIA IMEEMUA KUONDOSHA UBALOZI WAKE A.KUSINI KUTOKANA NA UBAGUZI WA KIGENI UNAO ENDELEA
Mpaka sasa watu saba wameshapoteza uhai kufuatia mashambulizi hayo,
yaliyoanza wiki tatu zilizo pita.mali zimeharibiwa vibaya na
mashambulizi hayo yamizusha hofu kubwa miongoni mwa raia wa kigeni .
Balozi wa Nigeria mjini Pretoria,mji wa kibiashara na kwingineko wanatarajiwa kurejea Nigeria kwa ushauri zaidi .
Taarifa
hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki ilieleza wazi baadhi ya waafrika
kusini walia andaa maandamano ya Amani na shutuma za Jacob Zuma kulaani
mashambulio hayo na kama ambavyo alifanya mfalme Zulu King Goodwill
Zwelithini, ambaye anashutumiwa kuwa maoni yake ndiyo chanzo cha vurugu
hizo.
Wabunge nchini Nigeria wameitaka serikali ya Afrika Kusini
kulipa uharibifu uliotokea na kikundi cha kutetea haki cha Nigeria
kimesha peleka malalamiko yake katika mahakama ya uhalifu wa kivita ICC.
Mwishoni
kwa wiki iliyopita,katika taarifa iliyotolewa nchini Afrika
Kusini,kutoka katika kitengo kinachoshughulikia mahusiano ya kimataifa
na ushirika kimerusha lawama zake kwa serikali ya Nigeria kwa hatua
waliyoichukua na kuielezea kama isiyo bahati na ya kusikitisha
Katika
utetezi wake serikali ya Afrika Kusini imesema kwamba hatua ya
mashirika ya kiraia kulaani na kukemea mashambulizi hayo na kutoa wito
wa kusitishw akwa mashambulio dhidi ya wageni kutokana na hayo
utekelezaji, utulivu wa kijamaa na utaratibu na amri ilitolewa .
Kipekee,wizara
ya mambo ya mambo ya nje ya Liberia katika taarifa iliyotolewa Jumapili
pamoja na mambo mengine, imeipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha
miaka kadhaa leo April 27 tangu kuondolewa kwa ubaguzi wa rangi nchini
humo na uchaguzi wa kidemokrasia uliofanyika nchini humo mnamo mwaka
1994,wizara hiyo imezungumzia hali ngumu nchi hiyo iliyokuwa inapitia
,katika taarifa hiyo Rais Ellen Johnson Sirleaf, mshindi wa tuzo ya
Amani,alisema kwamba alikuwa akiiombea nchi hiyo kupata ujasiri na nguvu
ya pamoja kwa umuhimu mkubwa iweze kuongoza watu wake katika maamuzi
sahihi katika harakati za kutaka kuufunga ukurasa wa kiza uliokuwa
ukiiandama nchi hiyo dhidi ya raia wa kigeni.
Blogger Comment
Facebook Comment