Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii, redioni na TV ni ripoti ya story kubwa ya mgomo wa mabasi ya abiria, nikasogea Kituo cha Mabasi Ubungo kuona hali ilivyo.
Vurugu kubwa zilizuka, yakachomwa matairi ya magari barabarani.. hakuna basi lolote la abiria kwenda mikoani lililokuwa limetoka wala hakuna daladala iliyokuwa ikipakia abiria katika eneo hilo.
Baada ya kuanza vurugu Polisi waliingilia kati na kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya.
Blogger Comment
Facebook Comment