Jana ilikuwa siku ya furaha kwa familia ya wasanii wawili Aunt Ezekiel na dansa wa Diamond aitwaye MoseIyobo baada ya kujaliwa kupata mtoto wa kike.
Mtoto huyo amepewa jina la Cookiena Aunty alionyesha furaha yake kwa kuandikwa kwenye ukurasa wa mitandano ya kijamii ujumbe wa kumshukuru Mungu kwa kumfanikisha kujifungua salama
Ujumbe wake uliendelea…
wajizaniao wao ni miungu watu Bac endelea kunyoosha mkono wako ktk paji la kiumbe wako ukiwa kama kinga nami niwe kivuli tuu juu yake Amen Whn Jesus Say Yes Ni body can Say wht!!!!!!!Wlcm Baby Cookie wlcm 2 da world KIBOKO YANG…
Blogger Comment
Facebook Comment