Siku chache zilizopita Ant Ezekielalifanya Baby shower kwa ajili ya mtoto atakaezaliwa, party ambayo ilihudhuriwa na mastaa kadhaa wa Bongo isipokuwa rafiki yake Wema Sepetu kitu ambacho kimetafsiriwa kuwa wana matatizo marafiki hao wa karibu kwa muda mrefu sasa.
Stori hii imeunganishwa na ile ishu yaZari All White Party ambayo ilifanyika wiki 2 zilizopita ambapo Ant Ezekiel alipost ujumbe kwenye Instagram ukiizungumzia show hiyo, kitu ambacho kinasemwa kuwa ilikua ni sawa na kumsaliti Rafiki yake Wema Sepetu ambaye siku hiyo alikua Mwanza.
Soudy Brown kampigia Ant Ezekiel na kakubali kuizungumzia hiyo isue, unaweza kubonyeza play hapo chini kusikiliza mahojiano hayo unaweza kusikiliza Clouds Fm ukiwa Dar es salaam kupitia 88.5.
Blogger Comment
Facebook Comment