UNADHANI KUCHELEWESHWA KWA VIDEO ZA BELLE 9 NDIO SABABU KUBWA YA KUFANYA MUZIKI WAKE USIFIKE MBALI!? HUYU HAPA (MSIKILIZE)

Hit maker wa singo kadhaa ikiwemo ya Shauri Zao staa kutoka MorogoroAbednego Damian aka Belle 9amekubali kushare na Bongo Flevaya Clouds FM kwenye kipengele chaBong0 5 kubwa kuliko kuhusu muziki wake ambao amedumu nao kwa zaidi ya miaka 7 sasa.

Belle 9 aliulizwa kwamba anaamini kutotoa video zake kwa muda muafaka kunaangusha muziki wake?? Kwenye jibu lake amesema ni kweli japo sio kwa asilimia kubwa kwa sababu sio nyimbo zote alichelewesha kuzitolea video.
Kwenye sentensi nyingine Belle 9amesema kuna video ziliwahi kutoka ila kuna nyingine zilichelewa, kwa mfano video ya wimbo wa #Amerudiakasema ile ilichelewa pamoja na video ya wimbo wa #VitaminMusicambao alimshirikisha Joh Makini.
Unaweza pia kumsikiliza Belle 9 kwa kubonyeza play hapo chini mtu wangu…
87.5 Unaweza kuisikiliza Clouds FMukiwa Shinyanga.
    Blogger Comment
    Facebook Comment