JE! ULIPITWA NA SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TAMASHA LA MIAKA 38 YA CHAMA CHA MAPINDUZI!? NIMEKUWEKEA HAPA MTU WANGU!


Iliandaliwa na chama cha mapinduzi (CCM) mkoani songea, ndipo walipo mualika famous Wa muziki wa kizazi kipya @diamondplatnumz na kufanya yake na kuwateka mashabiki zake vilivyo kabisa kama ilivyo kawaida kwa msanii Hugo!
    Blogger Comment
    Facebook Comment