Kutana na kipisi kingine cha Interview mwigizaji Wema Sepetu akihojiwa naZamaradi Mketema kwenye TAKE ONE yaCloudsTV ambapo interview kwenye hii video hapa chini anazungumzia kidogo ile BMW na uhusiano wake na Diamond Platnumz, boyfriend CK, kujutia kuwa na Diamond, kwake mapenzi ni Pesa au kupetipeti?
Alijutia kutomsikiliza mama yake kwenye maamuzi magumu ya maisha yake? kuhusu Diamond kuwa mapenzini na Jokate na Penny? majibu ya haya na mengine aliyoulizwa unaweza kumtazama mwenyewe hapa chini.
millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben kwa ajili ya kujua taarifa zaidi kwenye ajali waliyoipata jiunge na mimi
Blogger Comment
Facebook Comment