WEMA SEPETU;- DIAMOND AKINIOMBA SAPOT NAMPA!

Mwanadada anayetajwa kuwa na Mashabiki wengi Tanzania Wema Abraham Sepetu ambaye miezi kadhaa iliyopita alikuwa ni mpenzi wa msanii Diamond Platnumz lakini waliachana kwa sababu zisizo julikana had I sasa!
Alizungumza kwenye kipindi chake cha In My Shoes kinacho ruka hewani kupitia kituo cha Television cha EATV kwamba kwa sasa hawezi kumpa support yoyote ile msaniu huyo wa bongo flavour anae wania tuzo za MTV Africa Music Awards (MAMA) kwa sababu msanii huyo hajamuomba support yeyote! Ila endapo Diamond atamuomba yeye yupo tayari kumsaidia kwa lolote lile na kwa wakati wowote!
    Blogger Comment
    Facebook Comment