WEMA: "SIWEZI KUMSAMEHE KAJALA" SABABU AMEZIZUNGUMZA HAPA!

Msanii wa Bongo Movie Wema Abraham Sepetu amedai kwamba hawezi kumsamehe msanii mwezake aliyekuwa rafiki yake anayefahamika kwa jina la Kajala Masanja baada ya kutokea tofauti kati yao!
Tofauti hizo inasemekana zilitokea baada ya Kajala kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa Wema sepetu ambaye alikuwa ni rafiki yake kipenzi kwa wakati huo!
Hakuna asiyefahamu kwamba Wema sepetu ndiye aliyemtolea kajala pesa kama dhamana kutokana na kesi iliyokuwa inamuhusu mwanadada huyo (Kajala) na kuweza kumuweka jela kwa kipindi Fulani!
Maneno hayo ya kuto kumsamehe aliyazungumza alipokuwa akihojiwa na mwanadada Zamaradi Mketema katika kipindi cha TAKE ONE cha Clouds TV!
Nimekuwekea hapa!

    Blogger Comment
    Facebook Comment