ALIYE SADIKIKA KUMBAKA SHILOLE AKANA! ASEMA ALIKUWA NA MAHUSIANO NAE! NA NDIE BABA WA MTOTO WA SHILOLE!

Baba wa mtoto aliyezaa na Shiloleamejitokeza na kulalamika kusingiziwa na msanii huyo kuhusu kumbaka..na kusisitiza alikua na uhusiano naye na amekana kumbaka.
Shilole amezungumza na Soudy Brownna kusema mwanaume huyo hajui mtoto anakula nini wala ana miaka mingapi hivyo hataki hata kumsikia kwa kuwa hilo jambo bado linamuumiza na hataki mtoto wake ajue nini kinaendelea kati yake na baba wa mtoto wake.
Pia amesema amepanga kutoa elimu kwa wanawake na wasichana ambao hufanyiwa vitendo vya unyanyasaji kutoka kwa wanaume zao.
Msikilize hapa mtu wangu…
Story hii imeandikwa na millardayo.com
    Blogger Comment
    Facebook Comment