SIKILIZA MANENO YA Q CHIEF KUHUSU TUZO YA DIAMOND PLATNUMZ

Msanii mkongwe wa bongo flava Abubakar Katwila afahamikae kama Q-Chief hv karibuni alihojiwa na kipindi cha XXL cha kituo cha redio cha Clouds Fm kuhusu tuzo iliyoletwa nchini na msanii mwanzake +Diamond Platnumz

akihojiwa na mtangazaji mahiri +Adamu Mchomvu msanii huyo alisema kwamba yeye kwa upande wake ushindi ameupokea vizuri sana kwa sababu anaona bendera ya Tanzania inapeperushwa vizuri sana na msanii yule yule bwana Nassib Abdul "
"and this is the game, unajua unapokuwa kwenye vita na unaporudi na ushindi hatuna budi kuua mambo ya ma teem, hatuna budi tupeane sapoti team zote inabidi ziungane na kuwa kitu kimoja kwa maana hili ni swala la kitaifa! Mwiso wa siku amef!anya vizuri, ameiwakilisha Tanzania, ameitengeneza Tz vizuri nk
kiukweli ni kwamba anastahili kupewa hizi sifa na hii ni nafasi kwa wasanii wengi ne  kuitambua hii chalenge ili kumsaidi kwasababu mwisho wa siku atakuja kuchoka!"
Alizungumza Q-Chief


                           Follow me  +Mussa Saliboko
                           Instagram @mussasaliboko
                         Twitter   @Bongoplanettz
    Blogger Comment
    Facebook Comment