Steve Nyerere aianza rasmi siasa! (Video)


Kweli siasa mchezo mchafu! imetrhibitika hiyo baada ya muigizaji wa Bongo Movie afahamikae kama Steve Nyerere kutangaza nia ya kugombea nafasi fulani ya uongozi!
Na amelithibitisha hilo hivi punde baada ya yeye kwenda kuchukua fomu na kudhihirisha wazi kwamba yuko sahihi na maamuzi yake hayo ya kuingia kwenye siasa!
Nimwkuwekea hapa video iliyo muonyesha muigizaji huyo pindi alipo funga safari ya kwenda kuchukua fomu!

    Blogger Comment
    Facebook Comment