ZARI AJIFUNGUA!!!

Zari
Staa wa Bongo Fleva ambaye jina lake limebeba uzito mkubwa Afrika, Diamond Platnumz anayo furaha kushare na sisi hii good news… Post yake Instagram inasomeka hivi >>> ‘My mom’s face it’s enough to Express how i feell😍… Welcome to the world@princess_tiffah👼 Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu😍… karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah‘ >>>> @


P
    Blogger Comment
    Facebook Comment