Msanii wa kike kutoka Nigeria +Yemi Alade ameamua kwenda kumataifa zaidi ili kuwasogeza mashabiki wake karibu zaidi jasa wale wa East Africa wasioelewa lgha ya kiingereza na kuamua kuwaletea version ya nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la NA GODE kwa lugha ya Kiswahili!
Blogger Comment
Facebook Comment