Recent

HARMONIZE KUJA NA COLLABO YA KIMATAIFA!

Msanii kutoka WCB Wasafi (Harmonize) inasemekana anafanya kazi na msanii wa kimataifa kutoka nchini Nigeria anaeitwa Korede Bello hit maker wa nyimbo kama GODWIN na ROMANTIC aliyo mshirikisha mwanadada Tiwa Savage kutoka huko huko Nigeria,

Limetambulika hilo leo Baada ya Bosi wa Harmonize msanii Diamond PLatnumz ku post katika ukurasa wake wa Twitter kwamba (Namnukuu)
"I can't wait for the world to hear @Harmonize_tz new hit ft Mr Romantic @koredebello ....its one of my favorite tunes at the moment" aliandika hivyo Boss wa Harmonize Diamond Platnumz
Tutegemee lolote kuanzia sasa kutoka kwa wakali hao wawili (Harmonize & Korede Bello)
Huenda ndo ikawa mwanzo mzuri wa msanii Harmonize kutusua (Kupata mafanikio) kimataifa kama collabo yake hiyo itafanya vizuri! Kila la kheri kwa Harmonize.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment