Msanii Raymond (Rayvanny) kutoka WCB Wasafi label ambayo inasimamiwa na mwanamuziki Diamond Platnumz inasemekana ana uwezo wa ku freestyle kinoma! Hiyo inasababishwa na sababu msanii huyo kabla ya kubadili mahadhi ya muziki wake hapo kabla alikuwa aki RAP na sasa anaimba.
Raymond anaonekana ni msanii mwenye kipaji cha hali ya juu kwa sababu anakijua anacho kifanya na kukifanya vizuri kwa uwezo mkubwa.
na hili limempelekea kujipatia mashabiki kibao siku za karibuni kwa kuonekana anafanya vizuri katika muziki wake.
msikilize hapa msanii huyo kutoka Wasafi
Blogger Comment
Facebook Comment