Recent

MAPOVU YAWATOKA TEAM LULU! HAMISSA MOBETTO HATARINI

Usiku wa kuamkia leo tarehe 31 May 2016 katika mtandao wa Instagram kuna sakata lililokuwa likiendelea, likidai kwamba kuna mtu ambaye anatumwa na Hamisa Mobetto ili kumtusi mwanadada Lulu
Wanadada hao inasemekana eti wana ugomvi mkubwa ambao unasababishwa naaliyekuwa mwanaume wa Hamissa Mobetto na wakafanikiwa kupata nae mtoto mmoja kwa sasa ana mahusiano ya kimapenzi na mwannadada Lulu!
Ilisemekana chanzo cha siri hiyo kuvuja ni baada ya anayesemekana kuwa anatumwa na Mobetto kuvujisha siri hiyo na kupost picha za chatings ambazo walikuwa wakijadili yeye na Hamissa ili kumtukana Lulu.
ALIYE KUWA ANATUMWA AMTUKANE LULU AMWAGA SIRI ==>>By #katotolee - NIMEAMUA LEO NIOMBE MSAMAHA KWA SABABU NIMEKUA NIKIMTUKANA LULU BILA YA KOSA NAOMBA LULU UNISAMEHE KWA ANZIA LEO SITOKUTUKANA LULU TENA NAOMBA MSAMAHA LULU UNISAMEHE NA FOLLOWERS WANGU WOTE HII NI KWA SABABU ANANITUMA NIMTUKANEE LULU ALIKUA ANANITUMIA ELF 15000 NA ELA ZA VOCHA NA KILA TUKIO LIKITOKEA ANANITUMIA ILII NIMTUKANEE LULU HAYA YOTE NILIKUA NAFANYA KWASABABU YA PESAAAA NAOMBA WOTEE MNISAMEHE DA MUNA LULU LULUNATION NA WOTEEE NILIOWATUKANAA NAWAOMBA MNISAMEHE NILIPITIWAAA KWA SABABU YA TAMAA NA HAMISA NAOMBA KWA NZIA LEO SITAKIII MAWASILIANO NA WEWE UMENISABABISHIA MATATIZO NA WATUUU SITAKIII TENAAA MAWASILIANO NA WEWE TENAAAAA #Regrann ..heeeh makubwa huko mtaa wa pili..kumbe hamisa mobeto inasemakana alikuwa anamlipa huyu anayejiita #katoto_lee hela na na kumnunulia vocha ili awe anamtukana lulu..hahahaaah uwiii..sasa leo #katoto_lee yamemtoka ya moyoni katoa siri zote hadharan..na katuma chats zote za whtsaap alizokuw nanachat na hamisa kumsema lulu..khaaah insta kila cku yazuka mapyaaa!..mmelala?????au mmelaliwaaa?amkeni bhana ubuyu mpya hukuuu..
A photo posted by Udakutz.Com (@udakutz_) on
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment