Msanii anaefanya muziki wa Hiphop nchini Tanzania Hit maker wa Asanteni kwa kuja amefunguka leo sababu zinazo wapa ugumu wanamuziki wa Hiphop kufanya vizuri kimataifa kama ilivyo kwa wasanii wanaoimba kama kina Ally Kiba na Diamond Platnumz.
Ameitaja mipaka ya lugha kuwa ni sababu kuu moja wapo inayowakwamisha wao kufika level hizo kwa sababu muziki wanaoufanya unahitaji maneno mengi tofauti na wanaoimba ambao wanaweza kutumia maneno matatu kwenye verse moja tofauti na wao ambao Verse moja ya muziki wa Hiphop unaweza kufanya ngoma hata 3 za kuimba!
Blogger Comment
Facebook Comment