Recent

WEMA SEPETU AANZA KUMSAPOT DIAMOND PLATNUMZ! AZIWEKA TOFAUTI ZAO KANDO!

Mwanadada Wema Sepetu ambaye aliwahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki Diamond Platnumz ameanza kuonyesha moyo wa kumpa sapoti katika kazi mbali mbali ambazo mwanamuziki huyo anazifanya.
Ukiachilia mbali tofauti walizokuwa nazo ambazo zilisababishwa huenda namifarakano ya kimapenzi ambayo ilisababishwa baada ya wawili hao kutofautiana katika mapenzi yao. Na hivyo kuleta mifarakano mikubwa na kutoelewa na kwa mashabiki wa ma seleb hao wawili
Imeonekana Wema Sepetu ameanza kusahau matatizo yote yaliyopita na kuweka utaifa mbele kwanza baada ya mwanadada huyo kuonyesha nia ya kum support mwanamuziki huyo wa kizazi kipya ambaye anafanya vizuri kwa sasa Africa na Duniani kote!
Picha lilianza baada ya mwanadada Wema Sepetu kuji record baadhi ya Clips na kuzituma katika mitandao yake ya kijamii kama Snapchat na mingineyo akiwa anaimba nyimbo za msanii huyo ambe inasemekana kwamba walikuwa na tifauti kubwa.
Usiku wa kuamkia leo terehe 28 mwezi May mwaka 2016 mwanadada Wema Sepetu alipost  picha ya Tuzo za BET awards ambazo msanii Diamond Platnumz anawania ikiwa ni msanìi pekee kutoka nchini Tanzania!
Mwanadada Wema Sepetu alipost picha hiyo na kuwa himiza mashabiki wake waachane na mengine yote na waangalie taifa kwanza hivyo wampigie kura msanii Diamond Platnumz!
Aliandika hivi mwanadada Wema Sepetu!

A photo posted by wemasepetu (@wemasepetu) on
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment