Ukiachilia mbali tofauti walizokuwa nazo ambazo zilisababishwa huenda namifarakano ya kimapenzi ambayo ilisababishwa baada ya wawili hao kutofautiana katika mapenzi yao. Na hivyo kuleta mifarakano mikubwa na kutoelewa na kwa mashabiki wa ma seleb hao wawili
Imeonekana Wema Sepetu ameanza kusahau matatizo yote yaliyopita na kuweka utaifa mbele kwanza baada ya mwanadada huyo kuonyesha nia ya kum support mwanamuziki huyo wa kizazi kipya ambaye anafanya vizuri kwa sasa Africa na Duniani kote!
Picha lilianza baada ya mwanadada Wema Sepetu kuji record baadhi ya Clips na kuzituma katika mitandao yake ya kijamii kama Snapchat na mingineyo akiwa anaimba nyimbo za msanii huyo ambe inasemekana kwamba walikuwa na tifauti kubwa.
Usiku wa kuamkia leo terehe 28 mwezi May mwaka 2016 mwanadada Wema Sepetu alipost picha ya Tuzo za BET awards ambazo msanii Diamond Platnumz anawania ikiwa ni msanìi pekee kutoka nchini Tanzania!
Mwanadada Wema Sepetu alipost picha hiyo na kuwa himiza mashabiki wake waachane na mengine yote na waangalie taifa kwanza hivyo wampigie kura msanii Diamond Platnumz!
Aliandika hivi mwanadada Wema Sepetu!
Blogger Comment
Facebook Comment