(+Audio) DIAMOND; KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA SIO BAHATI NASIBU!

Diamond Platnumz mkali wa kuimba wa hapa nyumbani Tanzania ameweka wazi kwamba muziki ni biashara kubwa sana, na sasa haiwezi mtokea kama bahati nasibu kwa msanii wa kawaida kufanya kazi nna watu kama Jay Z / Kanye West n.k
Alizungumza maneno hayo Alhamisi iliyopita katika kipindi cha XXL cha Clouds FM walipo kuwa katika interview ya kuitambulisha rasmi Label yake ya WCB pamoja na kumtambulisha rasmi msanii mpya katika label hiyo (Rich Mavoko)
Alizungumza hayo baada  yakuulizwa na B Dozen swali ambalo liliidai ufafanuzi baada ya kauli yake kusikika siku chache zilizopita kwamba amekwisha kataa kufanya kazi na record label kibao za muziki duniani na wala hana mpango wa kufanya kazi na record label yoyote ile kwasababu haoni jambo geni watakalo mfanyia na ilihali yote anaweza kujifanyia mwenyewe.
Msikilize hapa akihojiwa kuhusu issue hiyo.
    Blogger Comment
    Facebook Comment