Wiki iliyopita msanii Harmonize alikuwa nna show nyumbani kwao Mtwara ambayo ilimlazimu kwenda nnna mpenzi wake mpya Jaquelin Wolper ambaye ni Star wa Bingi movie
Baada ya show Harmonize alilazimika kwenda kuwatembelea wazazi sababu alionna haita kuwa vizuri kwenda mtwara halafu asifike nyumbani kwa sababu nyumbani kwao na Harmonize ni nje kidogo ya mji.
Ilimlazimu kwenda na mpenzi wake huyo baada ya mwanadada huyo kuhitaji kwenda kupajua nyumbani kwao na mpennzi wake huyo wa sasa (Harmonize).
Msikilize hapa akizungumza juu ya hilo
Blogger Comment
Facebook Comment