Sallam alizungumza hayo alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa Kings FM ya Njombekatika kipindi cha The premier. Sallam aliweka wazi kwamba wamewahi kuwa na mazungumzo na msanii Rich Mavoko, lakini bado hawajafikia muafaka. endapo watakubaliana ataweka wazi katika vyombo vya Habari.
Aliendelea kusisitiza kwamba Mavoko nimsanii mkubwa na mkali kwa sababu amesha fanya nyimbo kali na video kali zaidi ya moja na ambazo zilipokelewa vizuri na mashabiki wa muziki, lwahiyo yeye binafsi kuna maslahi ambayo anayahitaji kama msanii na wapo katika makubaliano.
Blogger Comment
Facebook Comment