Tumzekuwa tukisikia katika kazi kadhaa zamsanii young killer neno MZ Unit napia ameshawahi kutusanua kwamba hili ni Crew yake na washkaji zake ambao nao pia wanajihusisha na muziki.
Lakini tulishuhudia ukimya ukitawala katika kundi hilo na bila kusikia lolote kutoka kwa wahusika
Young Killer ametusanukia (amezungumza nasi) kwamba kundi hilo halijafa na lipo mbioni juachia kazi zake rasmi ila kuna mambo madigi madigi bado yanawakwamisha.
Msikilize hapa Rapper huyo kutoka kanda ya ziwa (Young Killer)
Blogger Comment
Facebook Comment