Msanii wa vichekesho anaejulikana kwa jina la Stan Bakora ameamua kuifanyia video nyimbo ya msanii Raymond kutoka label ya WCB wasafi ambayo inasimamiwa na mwanamuziki Diamond Platnumz.
Nyimbo hiyo imeachiwa takriban wiki mbili zilizopita. Msanii Stan Bakora hii si mara yake ya kwanza kufanya hivyo, ilitokea hivyo pia kwenye nyimbo ya SIZONJE ya Mrisho Mpoto.
Itazame hapa hiyo video ya NATAFUTA KIKI
Blogger Comment
Facebook Comment