Msanii Rich Mavoko ambaye ametambulishwa leo rasmi chini ya label ya WCB inayosimamiwa na msanii mwenzie Diamond Platnumz.
Amefunguka leo alipohojiwa na Perfect Crispin wa Clouds FM katika kipindi cha XXL segment ya 255.
Akathibitisha hilo kwa kudai kwamba WCB ni label changaambyo haina hata miaka 3 na yeye ni msanii wa muda mrefu. Kwakuwa imetokea wasanii kufanya kazi pamoja ni kitu kizuri nna ndio maana akaamua kufanya maamuzi hayo.
Msikilize hapa
Blogger Comment
Facebook Comment