Msanii wa kike wa Bongo Fleva +Vanessa Mdee amezungumza kwamba kuna aina ya wasanii wanatumia kiki ili kusogeza mbele sanaa zao kwa sababu sanaa zao hazina uhalisia.
Mwanadada huyo alizungumza hayo wakati alipoalikwa katika studio zaTZA za Millard hayo. Aliongeza kwa kuwataja wasanii wenzie ambao walimpigia simu baada ya kusikia kwamba ana migogoro na msanii mwenzie Shilole.
Wasanii hao walimpigia sim na kumtaka amalize matatizo hayo na msanii mwenzie huyo.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
Blogger Comment
Facebook Comment