(VICEO) RICH MAVOKO ATAMBULISHWA RASMI KATIKA LABEL YA WCB!

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva Rich mavoko leo Junne 2 ametambulishwa rasmi kuwa chini ya label ya WCB iliyochini ya mwanamuziki mwenzie Diamond Platnumz.
 Amekutanishwa leo na waandishi wa habari na jutambulishwa rasmi na management yake mpa akiwemo Mkubwa Fela, Babu Tale, Sallam SK na C.E.O bwanna Diamond Platnumz.





A video posted by Hamisi Taletale (@babutale) on
    Blogger Comment
    Facebook Comment