(+Video) Diamond Platnumz Akabidhi madawati 600 kwa ajili ya Wanafunzi wa Dar es Salaam.

Mapema leo JUmatatu ya tarefe 6 ya mwezi wa 6 mwaka huu wa 2016 msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam muheshimiwa Paul Makonda madawati 600 kwa ajli ya kugawa katika shule za kata za Dar es Salaam.
Tazama hapa chini videos

    Blogger Comment
    Facebook Comment