Recent

JAMBO JINGINE ALICHOFANYA NEY WA MITEGO BAADA YA KUMALIZA TOUR YA SERENGETI FIESTA 2014

SerengetiFiesta ni miongoni mwa matamasha makubwa nchini ambayo yanafanyika mara moja kwa mwaka na kuwapa nafasi kubwa ya wasanii wa nyumbani kuingiza kiasi kikubwa cha pesa kwa kufanya show hizo.

Star wa single kadhaa ikiwemo Muziki gani na nyingine nyingi Rapper Ney wa Mitego ameamua kutumia kidogo alichoingiza kupitia tamasha la Serengeti Fiesta kupeleka baadhi ya mahitaji kwenye kituo cha watoto yatima.
Kituo cha Mwandaliwa Orphans kilichopo Tegeta kimepata nafasi ya kutembelewa na Ney wa Mitego kisha kutoa misaada yake hiyo,hizi ni baadhi ya picha wakati akikabidhi msaada huo.







Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment