Recent

SHOW WALIOFANYA WEUSI NYUMBANI KWAO ARUSHA WAKIWA NA BEN POL NA VANESSA MDEE





Ukibonyeza play hapa chini kwenye hii video ya AyoTV utapata time ya kuona kwa ufupi kilichofanywa na watu zaidi ya watano Arusha siku ya Jumamosi November 1 2014.


Jumamosi hii WEUSI wamekubali kuwepo Moshi ikiwa ni muendelezo wa Tour yao ya funga mwaka na WEUSI ambao ni Lord Eyez, Nikki wa II, Joh Makini, Bonta na wengine kwenye suprise.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment