Ukibonyeza play hapa chini kwenye hii video ya AyoTV utapata time ya kuona kwa ufupi kilichofanywa na watu zaidi ya watano Arusha siku ya Jumamosi November 1 2014.
Jumamosi hii WEUSI wamekubali kuwepo Moshi ikiwa ni muendelezo wa Tour yao ya funga mwaka na WEUSI ambao ni Lord Eyez, Nikki wa II, Joh Makini, Bonta na wengine kwenye suprise.
Blogger Comment
Facebook Comment