FAHAMU MATOKEO YA MECHI ZA BPL JUMATANO YA FEBRUARY 11

Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Chelsea leo ilisafiri mpaka jijini Liverpool kwenda kucheza na vijana wa Roberto Martinez – Everton. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Goodson Park umemalizika kwa Chelsea kuendelea kuimarisha uongozi wao wa pointi 7 baada ya kuifunga Everton 1-0.
Goli pekee la Willian katika dakika ya 89 lilihakikishia Chelsea ushindi muhimu dhidi ya Everton.
Wakati huo huo Manchester City imeifunga Stoke City 4-1. Magoli mawili ya Sergio Aguero na moja Milner na lingine la Samir Nasri likahatimisha ushindi huo wa City ambao wamekuwa na mfululizo wa matokeo mabaya siku za hivi karibuni.


    Blogger Comment
    Facebook Comment