MAPENZI YA WEMA NA OMMY DIMPOZ YASHAMIRI, TAZAMA HAPA





Yasemekana kwamba msanii wa bongo flavor Ommy dimpoz ana mahusiano na msanii wa Bongo movie Wema sepetu.
Na imethibitishwa kuwa hivyo baada ya mwanadada wema sepetu kutupia picha mtandaoni wakiwa katika mapoz tofauti tofauti kama haya
Picha hii ilipigwa na mwanadada wema sepetu baada ya kuwa wamepumzika na anaesemekana kuwa ni mpenzi wake wa sasa Ommy Dimpoz.
Picha hii ilipigwa na mwanadada huyo huyo wakiwa bafuni na mpenzi wake huyo Ommy Dimpoz.




    Blogger Comment
    Facebook Comment